10,99 €
inkl. MwSt.

Versandfertig in 1-2 Wochen
payback
5 °P sammeln
  • Broschiertes Buch

Huu ni mkusanyiko wa hadithi za paukwa-pakawa zinazosimuliwa katika jamii za Waswahili wa visiwa vya Zanzibar kama ambavyo mwandishi anazikumbuka. Huenda usimulizi wa upande mmoja wa jamii ya Waswahili ukatafautiana na wa jamii nyengine, lakini kwa kuwa wenyewe husema "Hadithi ina ncha saba", basi hii ni moja kati ya ncha hizo.

Produktbeschreibung

Autorenporträt
Mohammed Khelef Ghassani alizaliwa mwaka 1977 kisiwani Pemba na amehamia nchini Ujerumani tangu mwaka 2010.