12,99 €
inkl. MwSt.

Versandfertig in über 4 Wochen
payback
6 °P sammeln
  • Broschiertes Buch

Tunapoangalia utaratibu huo wa Kutoka, miaka arobaini nyikani, kuvuka Mto wa Yordani na kushinda mji wa Yeriko na kisha Nchi ya Kanaani, tunaweza kuona safari ya maisha ya kupokea wokovu na kusonga mbele kuelekea ufalme wa mbinguni. Mungu aliwatoa Waisraeli kutoka Misri na akawaongoza hadi Nchi ya Kanaani, Itiririkayo maziwa na asali. Vivyo hivyo, anataka kila mtu awe na imani ya kweli na afurahie pumziko la milele katika ufalme mzuri wa mbinguni. Zaidi ya hayo, anataka kila mmoja wetu awe na imani inayompendeza Mungu ili tuweze kupokea majibu ya kila kitu tunachoomba na tufanye mambo yote kwa uwezo wake.…mehr

Produktbeschreibung
Tunapoangalia utaratibu huo wa Kutoka, miaka arobaini nyikani, kuvuka Mto wa Yordani na kushinda mji wa Yeriko na kisha Nchi ya Kanaani, tunaweza kuona safari ya maisha ya kupokea wokovu na kusonga mbele kuelekea ufalme wa mbinguni. Mungu aliwatoa Waisraeli kutoka Misri na akawaongoza hadi Nchi ya Kanaani, Itiririkayo maziwa na asali. Vivyo hivyo, anataka kila mtu awe na imani ya kweli na afurahie pumziko la milele katika ufalme mzuri wa mbinguni. Zaidi ya hayo, anataka kila mmoja wetu awe na imani inayompendeza Mungu ili tuweze kupokea majibu ya kila kitu tunachoomba na tufanye mambo yote kwa uwezo wake.