Mualkemia
Paulo Coelho
Broschiertes Buch

Mualkemia

Versandkostenfrei!
Versandfertig in 1-2 Wochen
26,99 €
inkl. MwSt.
PAYBACK Punkte
13 °P sammeln!
Ndoto huotwa ili ziandamwe. Maisha yanakusudiwa kuishiwa. Baadhi ya vitabu huandikwa ili visomwe, vipendwe na virithiwe na vizazi. Mualkemia ni kitabu kimojawapo cha vitabu kama hivi. Mualkemia ni hadithi ya ndoto ya mvulana mchungaji wa mifugo kutoka eneo la Andalusia, nchini Uhispania. Mvulana huyu anasäri katika maeneo mengi yakiwemo masoko ya ajabu ya Afrika Kaskazini na baadaye kwenye jangwa nchini Misri. Mualkemia anamsubiri kwenye jangwa hili. Je, ataizimua ndoto yake? 'Vitabu vyake vimekuwa na athari ya kuimarisha maisha kwa mamilioni ya watu' Gazeti la The Times 'Mualkemia' is a Kisw...