Beschreibung
Produktdetails
Einband
Taschenbuch
Erscheinungsdatum
13.05.2021
Verlag
Tracey Calvert-JoshuaSeitenzahl
86
Maße (L/B/H)
22,9/15,2/0,5 cm
Gewicht
139 g
Sprache
Swahili
EAN
9798215097526
Jioni ya siku ya kuzaliwa kwangu nilipohitimisha miaka 10, babu yangu alitusimulia hadithi ambayo bado naikumbuka vyema zaidi akilini mwangu kama ilivyokuwa siku hiyo. Hadithi hii sio kumhusu babu yangu.Lakini ikiwa hiyo ilifanya utake kuendelea kusoma zaidi, basi tuna kitu kimoja sawa kati yetu.Kama wewe, hakuna kitu kinachonivutia zaidi kuliko mtu akianza na hadithi ya kibinafsi. Na hakuna kitu kinachopelekea kuelewa jambo zaidi kuliko msimulizi wa hadithi anaporejelea matukio ya kijamii.Ikiwa kweli unataka kunihusisha kwa ujumla, basi funganisha haya yote na wahusika wa tamthiliya.Bila haya, kuna hatari ya yote yanayosimuliwa kusikika kama hotuba moja ndefu zaidi, iliyojificha kiujanja. Katika kitabu hiki chepesi, ninafanya hivyo kabisa. Sura za kitabu kiki zimetajwa kwa ladha za maharagwe jeli, kwa kumbukumbu ya ladha za maharagwe jeli ya Bertie Bott katika riwaya ya Harry Potter. Unapotafuna kila ladha ya maharagwe haya yasiyo ya kimiugiza, utaona makosa ambayo mimi na wengine tumefanya katika mahusiano yetu, na ni nini kilichotufanya tujifunze, na jinsi tumefanya mabadiliko madogo zaidi kwenda kinyume na mwelekeo wa awali, na kutufanya kuwa na mahusiano mazuri. Kwa sababu, kama ninavyosema mara nyingi katika kitabu hiki: "Daima ni vitu vidogo."
Noch keine Bewertungen vorhanden
Verfassen Sie die erste Bewertung zu diesem Artikel
Helfen Sie anderen Kundinnen und Kunden durch Ihre Meinung.
Kurze Frage zu unserer Seite
Vielen Dank für dein Feedback
Wir nutzen dein Feedback, um unsere Produktseiten zu verbessern. Bitte habe Verständnis, dass wir dir keine Rückmeldung geben können. Falls du Kontakt mit uns aufnehmen möchtest, kannst du dich aber gerne an unseren Kund*innenservice wenden.
zum Kundenservice