Uumbaji wa Mtu (eBook, ePUB)

Sofort per Download lieferbar
9,49 €
inkl. MwSt.
Alle Infos zum eBook verschenken
Weitere Ausgaben:
PAYBACK Punkte
0 °P sammeln!
Kitabu Uumbaji wa Mtu; kinaanzia na YAHWEH Katika Milele kuchambua yapi na vipi vilipelekea kuumbwa kwa ulimwengu, na hatimaye pawepo mahali wakati ambapo mtu angeweza umbwa na kuishi humo. Ndipo tunaonyeshwa Kuumbwa kwa Roho na Nafsi ya Mtu katika milele, kabla kabisa ya Kufanywa kwa Mwili Mme na Mke, kwa minajili ya mtu katika hali ya roho-nafsi ahifadhiwe humo.Mpango wa Ukombozi unaonyeshwa kama matokeo ya kuhakikisha uhitaji wa Mungu YAHWEH kuwa na familia unakamilika. Na hili lilijulikana na kupangwa kabla ya uanguko wa mtu duniani. Hivyo tokea ufahamu huu, tunachungua kwa kina Tafsiri na...

Dieser Download kann aus rechtlichen Gründen nur mit Rechnungsadresse in A, B, CY, CZ, D, DK, EW, E, FIN, F, GR, H, IRL, I, LT, L, LR, M, NL, PL, P, R, S, SLO, SK ausgeliefert werden.