A. Umwagarwa
eBook, ePUB

Mioyo Miongoni Mwetu (eBook, ePUB)

Sofort per Download lieferbar
7,99 €
inkl. MwSt.
Alle Infos zum eBook verschenken
PAYBACK Punkte
4 °P sammeln!
Karabo amepona mauaji ya kimbari dhidi ya Watusi mwaka 1994 ambayo yaliyatwaa maisha ya baba yake na wadogo zake. Sasa ameachwa peke yake miongoni mwa mioyo iliyojeruhiwa nchini Rwanda, na hafahamu mahali alipo mama yake.Karabo alipokwenda kuishi na baba yake mkubwa, ambaye ni kanali kwenye jeshi jipya, anakutana na Shema, mhanga mwingine wa mauaji ya kimbari akiwa miongoni mwa walinzi vijana wa baba yake mkubwa. Tabasamu la Shema linamtetemesha, na Karabo anataka kuusalimisha moyo wake kwake, lakini mambo yanakuwa magumu -- Shema anafahamu sehemu tu ya hadithi yake.Mioyo Miongoni Mwetu ni sim...

Dieser Download kann aus rechtlichen Gründen nur mit Rechnungsadresse in A, D ausgeliefert werden.