Paul C. Jong
eBook, ePUB

Mahubiri juu ya Mwanzo (II) - Anguko la Mwanadamu na Wokovu Kamili wa Mungu (eBook, ePUB)

Sofort per Download lieferbar
2,99 €
inkl. MwSt.
Alle Infos zum eBook verschenken
PAYBACK Punkte
0 °P sammeln!
Katika Kitabu cha Mwanzo, kusudi ambalo Mungu alituumbia linapatikana. Wakati wasanifu wanapobuni jengo au wasanii wanachora ramani, kwanza huchukua kazi ambayo ingekamilika akilini mwao kabla ya kuanza kufanya kazi kwenye mradi wao. Kama hivi, Mungu wetu pia alikuwa na wokovu wa wanadamu akilini mwake hata kabla hajaumba mbingu na dunia, na aliwafanya Adamu na Hawa akiwa na kusudi hili akilini. Na Mungu alihitaji kutuelezea uwanja wa Mbingu, ambao hauonekani kwa macho yetu ya mwili, kwa kuteka mfano wa uwanja wa dunia ambao tunaweza kuona na kuelewa. Hata kabla ya kuwekwa misingi ya ulimwengu...

Dieser Download kann aus rechtlichen Gründen nur mit Rechnungsadresse in A, B, CY, CZ, D, DK, EW, E, FIN, F, GR, H, IRL, I, LT, L, LR, M, NL, PL, P, R, S, SLO, SK ausgeliefert werden.