
Lala salama, mbwa mwitu mdogo - Sleep Tight, Little Wolf (Kiswahili - Kiingereza) (eBook, ePUB)
Kitabu cha picha cha lugha mbili , na online audiobook na video
Sprecher: Haule, Faithful; Martin, Gemma; Agnew, Sefa / Illustrator: Brinkmann, Barbara / Übersetzer: Makasi, George Aclay; Savill, Pete
PAYBACK Punkte
0 °P sammeln!
Kitabu cha picha cha lugha mbili (Kiswahili - Kiingereza), na online audiobook na video Tim hawezi kupata usingizi. Mbwa mwitu wake mdogo amekosekana. Je, labda amemsahau nje? Tim anatoka peke yake usiku na anakutana na baadhi ya marafiki... ¿ Sikiliza hadithi isomwayo na wazungumzaji wa lugha ya asili! Kitabuni utakuta kiungo cha bure cha audiobook katika lugha zote mbili. ¿ Kwa picha za kupaka rangi! Kiungo cha kupakua katika kitabu kinakupa ufikiaji wa bure kwenye picha za hadithi. Bilingual children's book, age 2 and up (Swahili - English), with online audio and video Tim can't fall asle...
Kitabu cha picha cha lugha mbili (Kiswahili - Kiingereza), na online audiobook na video Tim hawezi kupata usingizi. Mbwa mwitu wake mdogo amekosekana. Je, labda amemsahau nje? Tim anatoka peke yake usiku na anakutana na baadhi ya marafiki... ¿ Sikiliza hadithi isomwayo na wazungumzaji wa lugha ya asili! Kitabuni utakuta kiungo cha bure cha audiobook katika lugha zote mbili. ¿ Kwa picha za kupaka rangi! Kiungo cha kupakua katika kitabu kinakupa ufikiaji wa bure kwenye picha za hadithi. Bilingual children's book, age 2 and up (Swahili - English), with online audio and video Tim can't fall asleep. His little wolf is missing! Perhaps he forgot him outside? Tim heads out all alone into the night - and unexpectedly encounters some friends... ¿ Listen to the story read by native speakers! Within the book you'll find a link that gives you free access to audiobooks and videos in both languages. ¿ With printable coloring pages! A download link in the book gives you free access to the pictures from the story to color in.
Dieser Download kann aus rechtlichen Gründen nur mit Rechnungsadresse in A, B, BG, CY, CZ, D, DK, EW, E, FIN, F, GR, H, IRL, I, LT, L, LR, M, NL, PL, P, R, S, SLO, SK ausgeliefert werden.