Dag Heward-Mills
eBook, ePUB

Kwa nini Uaminifu? (eBook, ePUB)

Sofort per Download lieferbar
6,49 €
inkl. MwSt.
Alle Infos zum eBook verschenken
PAYBACK Punkte
0 °P sammeln!
Kitabu hiki kinakuacha ukiwa huna shaka kwamba Mungu anatuita kwenye uaminifu. Uaminifu ni takwa la Mungu kwetu! Kitabu hiki chenye mvuto kinajibu waziwazi swali "Kwa Nini Uaminifu?"

Ikiwa umewahi kujiuliza kuhusu hitaji la uaminifu, maarifa haya yenye nguvu ya kibiblia yanaangazia jinsi uaminifu unavyoimarisha makanisa, hujenga huduma za kudumu na kukuza umoja miongoni mwa waumini.

Baada ya kusoma kitabu hiki cha muhimu, cha mwandishi maarufu anayeuzwa zaidi, Dag Heward-Mills hutakuwa na shaka kuhusu somo muhimu zaidi la uaminifu.

Dieser Download kann aus rechtlichen Gründen nur mit Rechnungsadresse in A, B, CY, CZ, D, DK, EW, E, FIN, F, GR, H, IRL, I, LT, L, LR, M, NL, PL, P, R, S, SLO, SK ausgeliefert werden.