Frank Christian
eBook, ePUB

Kanuni ya Siri ya Mafanikio (eBook, ePUB)

Sofort per Download lieferbar
4,99 €
inkl. MwSt.
Alle Infos zum eBook verschenken
PAYBACK Punkte
0 °P sammeln!
Maisha ni safari ya kulitafuta na kulifikia kusudi la uwepo wetu katika sayari ya dunia. Mafanikio ni matokeo ya kuishi na kutembea katika kusudi la uwepo wetu hapa duniani. Kulitambua kusudi hilo ndilo jambo la kwanza lakini jambo la pili ni kuzifahamu kanuni za siri zinazowaongoza wanadamu kulifikia kusudi. Kutokuzifahamu kanuni hizo hufanya watu wengi kuyaendea maisha kwa mashaka bila kuwa na uelekeo maalum huku wakijitaabisha kila siku bila mafanikio.Hii ni kwa sababu mafanikio ya mwanadamu katika eneo lolote la maisha ni sayansi yenye kanuni maalum na thabiti zizizo na makosa ambazo hufan...

Dieser Download kann aus rechtlichen Gründen nur mit Rechnungsadresse in A, B, CY, CZ, D, DK, EW, E, FIN, F, GR, H, IRL, I, LT, L, LR, M, NL, PL, P, R, S, SLO, SK ausgeliefert werden.