Yesu wa Nazareti alikuwa nani?
Gabriele
Broschiertes Buch

Yesu wa Nazareti alikuwa nani?

Utoto na ujana wake

Versandkostenfrei!
Versandfertig in 1-2 Wochen
9,49 €
inkl. MwSt.
PAYBACK Punkte
5 °P sammeln!
Katika kitabu hiki, wafuasi wa Mnazareti wanahadithia historia halisi ya maisha ya Yesu wa Nazareti, inayojitenga kabisa na ufafanuzi wa tabaka la makasisi na ufafanuzi potovu wa wataalamu wa historia wanaoendelea kuandika, wanaotumikia kanisa au waliyoombwa na kanisa waandike vitabu kuhusu mada hiyo. Kitabuni humo mmeandikwa sehemu mbali mbali za ufunuo wa Kristo wa Mungu uliotolewa kupitia Gabriele, nabii wake, ambamo Peke yake Anatoa maelezoa kuhusu maisha yake duniani kama Yesu wa Nazareti. Sehemu: Wakati nilifikia umri wakuinukia, na nafsi yangu ilipotoka utotoni hadi ujana, Mungu akajifu...