Watoto wa Mitaani
Peter A. Kisia
Broschiertes Buch

Watoto wa Mitaani

Versandkostenfrei!
Versandfertig in 1-2 Wochen
14,99 €
inkl. MwSt.
PAYBACK Punkte
7 °P sammeln!
Kuna sababu mbalimbali zinazofanya watoto wa mitaani kujikuta katika hali hiyo. Na ingawa mashirika mbalimbali kwa muda mrefu sasa yametambua kuweko kwa tatizo hili, hakuna jambo la muhimu ambalo limetekelezwa kulitatua. Mwandishi anaangazia machache kuhusu haki za watoto kwa upande wa malezi na elimu. Vilevile anatoa mapendekezo na jinsi ya kuepukana na hali hizo. Watoto ni rasilmali kubwa ya taifa; ni viongozi wa kesho na hasa uti wa mgongo wa uchumi wa taifa katika siku zijazo. Kwa sababu hii, mwandishi anasisitiza umuhimu wa kuanzisha miradi fulani ya kuwasaidia watoto hawa kujitegemea kim...