UCHAMBUZI WA FASIHI
Shadrack K. Nyagah
Broschiertes Buch

UCHAMBUZI WA FASIHI

(Chozi la Heri, Kigogo, Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine)

Versandkostenfrei!
Versandfertig in 6-10 Tagen
36,99 €
inkl. MwSt.
PAYBACK Punkte
18 °P sammeln!
Ni kitabu kinacholenga kuchambua kazi tatu teule za fasihi andishi. Kitabu hiki kinaangazia riwaya ya Chozi la Heri, tamthlia ya Kigogo na hadithi fupi ya Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine. Kitabu hiki kimetayarishwa kimaksudi kwa lengo la kumwelekeza mwanafunzi, msomi na mpenzi wa fasihi ya Kiswahili katika uchambuzi wa vipengele mbalimbali vya fasihi andishi vikiwa ni pamoja na msuko, dhamira, maudhui, mbinu za lugha, wahusika na uhusika wao. Uchambuzi huu umefanywa kwa kuoanisha dhamira ya mwandishi na hali halisi katika jamii. Isitoshe, mchakato mzima wa kuwaumba wahusika na kuyajenga ...