Sungura na bInti Mfalme
Nyambura Mpesha
Broschiertes Buch

Sungura na bInti Mfalme

Versandkostenfrei!
Versandfertig in 1-2 Wochen
17,99 €
inkl. MwSt.
PAYBACK Punkte
9 °P sammeln!
Binti mfalme anatamani kuolewa na mume mwenye busara, werevu na ushujaa. Mtihani anaotakiwa kupita ni kunywa chungu cha maji yanayochemka. Vijana wengi wanajaribu lakini wanashindwa. Mpaka Sungura anapojitokeza na kujua jinsi ya kufanya hivyo.