Someone Else's Faith - Swahili Edition
F. Wayne Mac Leod
Broschiertes Buch

Someone Else's Faith - Swahili Edition

Imani Uliyonayo Ni Ya Kwako Kabisa?

Versandkostenfrei!
Versandfertig in 1-2 Wochen
7,99 €
inkl. MwSt.
PAYBACK Punkte
4 °P sammeln!
Imani Ya Mtu Winguine Je, imani unayodai ni yako kweli? Je, unajaribu kwenda mbinguni kwa nguvu za mtu mwingine? Je, imani yako ni yako kweli au unaamini tu kile ambacho mtu mwingine alikuambia uamini? Je, unajaribu kutumia karama za kiroho za mtu mwingine? Watu wengine wanafuata Ukristo lakini hawana imani binafsi. Watu hawa huamini tu kile mtu mwingine anachowaambia kuamini. Kitabu hiki kitakupa changamoto ya kuuliza swali: Je, imani ninayokiri ni yangu kweli?