Peponi
Abdulrazak Gurnah
Broschiertes Buch

Peponi

Versandkostenfrei!
Versandfertig in 1-2 Wochen
23,99 €
inkl. MwSt.
PAYBACK Punkte
12 °P sammeln!
Swahili translation of the Nobel-prize winning author's 1994 novel Paradise. ¿Mzaliwa wa Afrika ya Mashariki, Yusuf anaondoka kwao kwa ghafla akiwa na umri wa miaka kumi na mbili. Haimjii hata kwa sekunde moja, kwamba atakuwa mbali na wazazi wake kwa muda mrefu, na wala hafikirii kuuliza atarudi lini au kwa nini safari iliandaliwa kwa ghafla kiasi kile. Yusuf anaamini kuwa anamsindikiza Ami Aziz lakini ukweli ni kwamba 'ami' yake ni Mfanyabiashara, tena tajiri mkubwa, na Yusuf amewekwa rehani ili kulipia madeni ya baba yake. Yusuf anajikuta anasafiri katika miji na vitongoji vingi vingine amb...