Mimi, Umma Party na Mapinduzi ya Zanzibar
Hashil Seif Hashil
Broschiertes Buch

Mimi, Umma Party na Mapinduzi ya Zanzibar

Versandkostenfrei!
Versandfertig in 1-2 Wochen
12,99 €
inkl. MwSt.
PAYBACK Punkte
6 °P sammeln!
HASHIL Seif Hashil alizaliwa kwenye ngarawa katika maji ya bahari ya Pemba Januari 12, 1938. Alisoma skuli ya msingi ya Mkwajuni na baadaye katika iliyokuwa Seyyid Khalifa Secondary Technical School, Beit-el-Ras, Unguja. Alikuwa ni mmoja wa vijana wafuasi wa Abdulrahman Babu waliopelekwa Cuba kwa mafunzo ya kijeshi kabla ya Mapinduzi ya Januari 12, 1964. Baada ya Mapinduzi alipelekwa Indonesia kusomea sayansi ya ubaharia kwa miaka miwili na pia alipelekwa China kusomea uanamaji.Hashil Zanzibar alifanya kazi mbalimbali aliwahi kuwa afisa wa tatu katika meli za MV Africa na MV Jamhuri. Alipouliw...