Matukio ya Kusisimua ya Pili akiwa New York. Bilingual Books for Children. English - Swahili ¿ Kiingereza
Kike Calvo
Broschiertes Buch

Matukio ya Kusisimua ya Pili akiwa New York. Bilingual Books for Children. English - Swahili ¿ Kiingereza

The Adventures of Pili in New York

Versandkostenfrei!
Versandfertig in 1-2 Wochen
18,99 €
inkl. MwSt.
PAYBACK Punkte
9 °P sammeln!
Akiungana na Pili, msomaji anagundua matukio yenye kusisimua ya msichana mdogo ambaye anasafiri duniani na baba yake, Kike Calvo ambaye ni mpiga picha wa National Geographic Image Collection. Katika kitabu hiki chenye michoro mizuri, Pili, Mvumbuzi Mdogo, anafuatilia ndoto zake kutoka Jiji la New York hadi msitu wa mvua wa Kolombia. Ujumbe wa msingi wa mfululizo wa Matukio Yenye Kusisimua ya Pili ni utunzaji na udumishaji wa mazingira. Kitabu hiki kinashughulikia dhana ya utofauti wa kitamaduni na uwezeshaji, utayari wa kukabili ulimwengu na amani, ujasiriamali na mabadiliko ya hali ya hewa. H...