Maisha niliyochagua mimi mwenyewe
Gabriele
Broschiertes Buch

Maisha niliyochagua mimi mwenyewe

Versandkostenfrei!
Versandfertig in 1-2 Wochen
9,99 €
inkl. MwSt.
PAYBACK Punkte
5 °P sammeln!
Mada ya kitabu hiki inamaanisha nini ? Maisha ni nini kwa kweli? Kwa nini kila mtu ana maisha isiyo na kifani ? Je , kwa kweli, bahati ipo ? Sababu gani nilizaliwa katika familia hii bali si katika nyingine yote ile ? Kwa nini ninakutana tu na aina fulani ya watu ? Je ninakabiliwa na majaliwa yangu ? Ni nani aliyepangilia tangu awali matukio ya maisha yangu ? Ni vipi ninaweza kubadili mpangilio huo ? Gabriele, nabii na mjumbe wa Mungu anatoa maelezo kitabuni humu kwamba uzima ni zaidi ya yale tunayohisi kwa jumla. Anatusaidia kuelewa kwa kina matukio ya maisha yetu na anatufundisha jinsi ya ku...