MAAJABU YA SANDUKU LA DHAHABU
Doris Irish Lacks
Broschiertes Buch

MAAJABU YA SANDUKU LA DHAHABU

Furaha na huzuni kwenye maisha yaliyounganishwa na safina na yaliyomo ndani yake

Versandkostenfrei!
Versandfertig in 1-2 Wochen
21,99 €
inkl. MwSt.
PAYBACK Punkte
11 °P sammeln!
Mahali fulani mashariki ya kati, sanduku la dhahabu la maajabu lilifichwa kutoka kwenye macho ya binadamu kwa maelfu ya miaka. Hakuna anayejua sehemu lilipo, lakini wengi walilitafuta, wakitumai kuwa mmoja wa watakaotatua siri: "Liko wapi sanduku la agano?" Hadithi ya safina ilianza, sio wakati inatengezwa chini ya maelekezo ya Musa kwenye jangwa, lakini mbinguni, katikati ya vita kati ya shetani na Mungu. Matunda ya vita ilikuwa ni dunia iliyoanguka, majibu ya wokovu wetu ni sehemu ya sababu safina kutengenezwa. Yaliyomo ndani ya sanduku la agano ni kitovu cha maisha yaliyojazwa kwa neema ya ...