Kwanini Yesu ni Bora Kuliko Allah?
Maxwell Shimba
Broschiertes Buch

Kwanini Yesu ni Bora Kuliko Allah?

Versandkostenfrei!
Versandfertig in über 4 Wochen
15,99 €
inkl. MwSt.
PAYBACK Punkte
8 °P sammeln!
Kwanini Yesu ni Bora Kuliko Allah? Kwanini Yesu ni Bora Kuliko Allah? ni kitabu kinachotathmini kwa kina na kwa mtazamo wa kimantiki, kihistoria, na kidini tofauti kubwa kati ya Yesu Kristo na Allah, huku kikiangazia Uungu wa Yesu Kristo na mafundisho yake ya pekee. Katika kurasa zijazo, tutachambua sababu za msingi zinazowafanya watu wengi kumwona Yesu kama mtu wa kipekee na wa kiungu zaidi ya Allah, ambaye ni kielelezo cha Mungu katika Uislamu. Yesu Kristo amevutia mamilioni ya watu kwa zaidi ya karne 20. Kwa Wakristo, yeye si tu mwanzilishi wa imani yao, bali ni Mwana wa Mungu, Mwokozi wa u...