Thomas Gregory Stewart
Broschiertes Buch

Kupaa Kama Tai

Hadithi ya Imani, Msamaha, na Kupokea Nguvu za Kuvumilia

Versandkostenfrei!
Versandfertig in 1-2 Wochen
14,99 €
inkl. MwSt.
Weitere Ausgaben:
PAYBACK Punkte
7 °P sammeln!
Kukulia kwenye nyumba isiyokuwa na baba wa kutegemewa na yenye mama anayekunyanyasa kihisia, ilikuwa rahisi kwa Tom Stewart kuingia kwenye mtego wa kundi la watu wabaya. Huku akizoea desturi ya kufuata ushawishi wa wengine na kutaka uthibitisho kutoka kwa wakubwa wake, Tom alijikuta amenaswa kwenye mwongo wa dhuluma kutoka kwa kiongozi wa kikundi chake cha Maskauti. Kiwewe cha utoto wake kuharibiwa kinamfuata hadi siku za baadaye, ambapo anakumbana na majaribu si haba. Kupitia janga la kiafya, mahusiano yaliyovunjika na kifo cha mtoto wake wa kiume, Tom anashikilia imani yake isiotetereka. Wak...