Kilio Cha Mwafirika Ndani Ya Utandawazi
Thomas Ngatigwa
Broschiertes Buch

Kilio Cha Mwafirika Ndani Ya Utandawazi

Nani Atatuvabua Toka Lindi La Utandawazi

Versandkostenfrei!
Versandfertig in 6-10 Tagen
52,99 €
inkl. MwSt.
PAYBACK Punkte
26 °P sammeln!
Mwanafalsafa mmoja maarufu duniani alisema , " UONGO UKIRUDIWARUDIWA MARA NYINGI HUONEKANA NA KUKUBALIKA KUWA NI UKWELI" Hii ni falsafa iliyotumika na mtawala katili wa wajermani Adolf Hittler kuwadanganya wananchi wake kuwa Wayahudi ni taifa hatarishi lililostahili kuangamizwa kuinusuru Ujermani kupoteza heshima yake kiuchumi kijeshi na kiutamaduni.Huu ulikuwa wakati wa maandalizi ya vita kuu ya pili ya dunia iliyoanza mwaka 1939-1945.Matokeo ya matumizi ya falsafa hii ni kuangamizwa kwa wayahudi milioni sita na zaidi katika kipindi kifupi. Falsafa hii potofu ndio iliyotumika na wanahistoria ...