Hadithi Yako ya Kweli Mwongozo Muhimu wa Siku 50 Kwa Ajili ya Maisha Yako Mapya Pamoja na Yesu (Your True Story, Swahili Edition)
Susan Freese
Broschiertes Buch

Hadithi Yako ya Kweli Mwongozo Muhimu wa Siku 50 Kwa Ajili ya Maisha Yako Mapya Pamoja na Yesu (Your True Story, Swahili Edition)

Versandkostenfrei!
Versandfertig in 1-2 Wochen
14,99 €
inkl. MwSt.
PAYBACK Punkte
7 °P sammeln!
JINUNULIE KIMOJA. MNUNULIE MTU KIMOJA KAMA ZAWADI.* Maisha yako yanaweza kubadilika ndani ya Siku 50. Zana hii KAMILI ya Kujifunza Biblia ina mambo muhimu juu ya uanafunzi kwa ajili ya Wakristo wapya ulimwenguni kote (hakuna mifano ya kimagharibi). Ni vigumu kuwa na uhusiano wa karibu na Mungu na kutimiza kusudi lako bila ufahamu mzuri wa hadithi Yake na sehemu yako katika hadithi hiyo. Masomo haya 50 ya kila siku yanafunua MAMBO MUHIMU YA IMANI ili kufanya urafiki wako na Yesu uwe wa kina na kukupa UJUZI WA KIUTENDAJI ili iwe mfuasi Wake. Jifunze kile ambacho waumini wakomavu wamejua kwa miak...