Hassan Mambosasa
Broschiertes Buch

Gadi

Versandkostenfrei!
Versandfertig in 1-2 Wochen
14,99 €
inkl. MwSt.
Weitere Ausgaben:
PAYBACK Punkte
7 °P sammeln!
Veronica Mwalasisi, binti wa kitanzania anayesoma nchini Marekani, anajikuta matatani baada ya kupata ajali. Iliyotokea baada ya kufanyiwa akiendesha gari na kijana wa kutokea familia ya inayohusika na uhalifu. Ajali ile licha ya kumuumiza, pia iliondoka na maisha ya kijana yule kwa bahati mbaya. Suala linalozua hofu sababu mzazi wake alisifika kwa ukatili, asiyejua kama mtoto wake alikosea au la. Binti ilimbidi aondolewe Marekani, ndugu zake waliamua aondoke kwa meli. Ila aliishia kuingiwa na ukaidi, akaenda kinyume na maagizo yao. Kwa kupanda nyingine tofauti aliyoandaliwa. Asijue meli si sa...