
Fasihi na Ulemavu
Uchambuzi wa Methali za Kiswahili
Versandkostenfrei!
Versandfertig in 1-2 Wochen
9,49 €
inkl. MwSt.
PAYBACK Punkte
5 °P sammeln!
Fasihi na Ulemavu: Uchambuzi wa Methali za Kiswahili ni kitabu kinachochambua methali za Kiswahili zenye kutaja ulemavu. Je ni ulemavu wa aina gani unaotajwa katika methali hizo? Kwa nini utajwe ulemavu huo na sio mwingine? Kwa nini aina fulani ya ulemavu inajitokeza zaidi ikilinganishwa na aina zingine za ulemavu? Soma kitabu hiki ufahamu majibu ya maswali haya.