Baraza ya Majestic na Machinjioni kwa Bamkwe
Ibrahim Mohammed Hussein
Broschiertes Buch

Baraza ya Majestic na Machinjioni kwa Bamkwe

Versandkostenfrei!
Versandfertig in über 4 Wochen
19,99 €
inkl. MwSt.
PAYBACK Punkte
10 °P sammeln!
Kwa lugha nyepesi ya Kiswahili fasaha, Kiunguja, Ibrahim Mohammed Hussein, anasimuliya kwa uwazi na ujasiri mkubwa, yale yaliyomsibu baada ya kuuwawa Rais wa Kwanza wa iliyokuwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, na Mwenyekiti wa Kwanza wa Baraza la Mapinduzi, Sheikh Abeid Amani Karume. Tukio hilo la siku ya Ijumaa, tarehe 7 Aprili 1972, liliigubika nchi katika giza zito na kuzusha hamkani ya nguo chanika. Maisha Visiwani yakawa sio shwari tena. Kamatakamata ikawa ndio kilio kilichosikisika mitaani. Mwandishi wa kitabu hichi nae pia akanaswa ndani ya mtego wa panya, ulioingiza waliokuwemo na wasioku...