Ludovick Simon Mwijage
Gebundenes Buch

Barabara ya Tanzania Kwenda Damascus

Versandkostenfrei!
Versandfertig in 1-2 Wochen
14,99 €
inkl. MwSt.
Weitere Ausgaben:
PAYBACK Punkte
7 °P sammeln!
Baada ya Vita Vikuu kumalizika 1918 Ujerumani iliachia miliki zake za nje, ikiwemo miliki yake ya Afrika Mashariki, kwa umoja wa mataifa makuu na mamlaka-shiriki (Principal Allied and Associated Powers) yaliyoshinda vita. Kutokana na mabadiliko hayo, Uingereza ilikubali wajibu wa kimataifa wa kusimamia maendeleo ya kisiasa ya sehemu kubwa ya miliki ya Kijerumani ya Afrika Mashariki; ambayo baadaye iliitwa Jimbo la Tanganyika (Tanganyika Territory); hadi hapo wenyeji wa Jimbo wagekuwa tayari kujisimamia wenyewe. Kwa miongo minne, Uingereza ilitekeleza wajibu huo kulingana na uwezo wake hadi Jim...