Annie na Mawimbi
Lambeth
Broschiertes Buch

Annie na Mawimbi

Versandkostenfrei!
Versandfertig in 1-2 Wochen
17,99 €
inkl. MwSt.
PAYBACK Punkte
9 °P sammeln!
Annie na familia yake wanaenda pwani kwa likizo. Waokoaji wawili wa mawimbi wanatembelea shule ya Annie na anajifunza jinsi ya kukaa salama ufukweni. Annie anagundua kwamba bahari inabadilika. Mwanzoni anahofia mawimbi lakini baada ya kuwakuta na waokoaji wa mawimbi, na pamoja na usaidizi wa familia yake, Annie hugundua hivi karibuni furaha ya kuogelea pwani. Ujasiri wa Annie unaongezeka hadi anapopata wimbi kubwa ambalo humvuta ndani ya maji mengi zaidi. Je, atakumbuka jinsi ya kuwaambia wakoaji wa mawimbi kwamba anahitaji usaidizi? 'Annie na Mawimbi' ni kitabu juu ya jinsi ya kukaa salama pw...