Beschreibung
Produktdetails
Verkaufsrang
47100
Einband
Taschenbuch
Erscheinungsdatum
31.03.2026
Verlag
Africa Proper Education NetworkSeitenzahl
176
Maße (L/B/H)
19/13,3/1 cm
Gewicht
192 g
ISBN
978-9976-5-8711-1
Rosa Mistika ni riwaya inayohusu masaibu ya msichana Rosa aliyelelewa katika mazingira ya udhibiti wa kidini na kimila katikati ya lindi la umaskini; baadaye akakabiliwa na vishawishi pale alipoingia katika shule ya bweni na kisha chuo cha ualimu. Kutokana na malezi aliyoyapata, anashindwa kuvidhibiti vishawishi hivyo, hatimaye anapoteza maisha. Riwaya hiyo inatuingiza katika falsafa ya Kezilahabi kuhusu maisha, Mungu na ubaho (kuwapo) ambayo inajitokeza kwa kina na upevu zaidi katika riwaya zake za baadaye. Rosa Mistika is a novel about the plight of a young girl named Rosa who was raised in an environment of religious and traditional control in the midst of poverty; later she faced temptations when she entered a boarding school and then a teacher's college. Due to the upbringing she received, she is unable to control these temptations, and eventually she loses her life. The novel introduces us to Kezilahabi's philosophy about life, God and existence which emerges in greater depth and maturity in his later novels.
Kundinnen und Kunden meinen
Verfassen Sie die erste Bewertung zu diesem Artikel
Helfen Sie anderen Kund*innen durch Ihre Meinung
Kurze Frage zu unserer Seite
Vielen Dank für dein Feedback
Wir nutzen dein Feedback, um unsere Produktseiten zu verbessern. Bitte habe Verständnis, dass wir dir keine Rückmeldung geben können. Falls du Kontakt mit uns aufnehmen möchtest, kannst du dich aber gerne an unseren Kund*innenservice wenden.
zum Kundenservice