Cornelia Haas
eBook, ePUB

Ndoto yangu nzuri sana kuliko zote - My Most Beautiful Dream (Kiswahili - Kiingereza) (eBook, ePUB)

Kitabu cha watoto cha lugha mbili

Sprecher: Agnew, Sefa / Illustrator: Haas, Cornelia / Übersetzer: Machenje, Levina; Agnew, Sefa
Sofort per Download lieferbar
4,99 €
inkl. MwSt.
Alle Infos zum eBook verschenken
PAYBACK Punkte
0 °P sammeln!
Kitabu cha watoto cha lugha mbili, kwa miaka 2-3 na zaidi (Kiswahili - Kiingereza) Lulu hawezi kulala. Mwanasesere zake zote wanaota sasa - papa, tembo, panya mdogo, dragoni, kangaruu na kitoto cha simba. Hata dubu ana shida kuendelea kufungua macho yake ... Dubu, je, utanipeleka kwenye ndoto yako? Huu ni mwanzo wa safari ya Lulu iliyomwongoza ndani ya ndoto ya mwanasesere zake - na mwisho kwenye ndoto yake nzuri sana kuliko zote. ¿ Kwa picha za kupaka rangi! Kiungo cha kupakua katika kitabu kinakupa ufikiaji wa bure kwenye picha za hadithi. Bilingual children's picture book (Swahili - Englis...

Dieser Download kann aus rechtlichen Gründen nur mit Rechnungsadresse in A, B, BG, CY, CZ, D, DK, EW, E, FIN, F, GR, H, IRL, I, LT, L, LR, M, NL, PL, P, R, S, SLO, SK ausgeliefert werden.